VIDEO:JEFRYDER FT NESTER DOWNLOAD TAZAMA NA KUSIKILIZA NI NGOMA KALI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

VIDEO:JEFRYDER FT NESTER DOWNLOAD TAZAMA NA KUSIKILIZA NI NGOMA KALI


Yule kijana anayekuja kwa kasi katika muziki wa Hip hop, Jefryder au kwa jina lake la asili Jafary Ahmed hatimaye wiki hii ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwishoni mwa mwaka jana baada ya kuachia video ya ule wimbo wake unaoendelea kufanya vizuri wa NIPE MIC. 

Uzinduzi wa video hiyo umefanyika jana Ijumaa maeneo ya Tabata anakoishi Jeff na familia yake. Wimbo huu alimshirikisha Nester na video imetengenezwa na Skills Videos. Jafary amewahi kutoa tena ngoma nyingine iliyofanya vizuri sana inayokwenda kwa jina NIPE LOVE aliyomshirikisha Darasa & Steve RNB. Itazame video hiyo  hapa chini;

0 Response to "VIDEO:JEFRYDER FT NESTER DOWNLOAD TAZAMA NA KUSIKILIZA NI NGOMA KALI"

Post a Comment