DOWNLOAD(PAKUA) KITABU HIKI CHA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO BURE MTANDAONI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

DOWNLOAD(PAKUA) KITABU HIKI CHA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO BURE MTANDAONI

Ni kitabu kizuri kilichobeba kanuni, “Theory” ya kujifunza elimu ya pesa na mafanikio kwa ufanisi mkubwa. Watu wengi wamekuwa wakipata shida na kuwa njia panda wanapokutana na   programu mbalimbali zinazohusika na uelimishaji elimu ya pesa na mafanikio kiasi ambacho hushindwa kuamua wafuate mkondo upi, wasome kitabu cha mwandishi yupi, wafuatilie semina za mhamasishaji yupi, na hata wafuatilie mafundisho ya kocha yupi. Kanuni itakupa jawabu sahihi na muafaka. 

Pamoja na kitabu hicho kipya katika lugha ya kiswahili, vile vile vimeambatanishwa na zawadi nyingine ya vitabu “vikali”(tumekuchagulia vile ‘cream’) katika lugha ya kiingereza vihusuvyo elimu ya pesa, mafanikio na maendeleo binafsi vipatavyo 25.
Kitabu : Kanuni ya kujifunza elimu ya pesa na mafanikio

Vitabu vyote hivi, hautachajiwa hata senti tano, “ni free of charge” nikiwa na maanisha ni BURE kabisa!. Ila utakachopaswa kukifanya ni kwenda katika fomu iliyopo mwanzoni mwa blogu hii pale upande wa kulia na ujaze taarifa zifuatazo;
 (1)Barua pepe yako(email) unayoitumia marakwa mara.
 (ii) Majina yako mawili.
 (iii) Namba zako za simu.

Lengo la sisi kutaka taarifa hizi ni kwa sababu ya kukutumia zawadi tulizozitaja hapo juu na pia kwa ajili ya kuendelea kukutumia vitabu vingine tutakavyoendelea kutunga pamoja na makala maalumu zile zenye umuhimu wa kipekee. Unapojiunga na sisi unakuwa mtu maalumu kwetu unayestahili kupokea zawadi na vitu vipya kabla hata ya wasomaji wengine wa kawaida wa blogu havijawafikia.


Njia mbadala ya kujiunga unaweza pia ukafungua makala hii hapa isemayo, KWANINI VITABU NA SEMINA ZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIOHAVIWASAIDII WATU WENGI?, chini kabisa mwishoni mwa makala hiyo utakuta fomu kama hiyo tuliyotaja awali ambayo nayo unaweza ukajaza taarifa zilizotajwa na kisha baada ya hapo unaingia katika email yako kufungua email tutakayokuwa tumekutumia, fuatilia maelekezo mpaka umepakua vitabu vyako.

1 Response to "DOWNLOAD(PAKUA) KITABU HIKI CHA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO BURE MTANDAONI"