HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA NUSURA AMUUE, HEBU MCHEKI HAPA CHINI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA NUSURA AMUUE, HEBU MCHEKI HAPA CHINI

Nilifikiri Yale ya mtoto wa boksi hutokea hapa Tanzania tu peke yake kumbe nilikosea. Mambo haya jamani kumbe hutokea kila mahala Duniani, Tunapaswa kujiuliza kila tunapowaacha wanetu na mayaya au watu wengine wowote wale ikiwa usalama wao ni wakutosha, hebu fikiri isingelikuwa wazazi wa haka katoto  walikuwa ni watu wanaojiweza wakaweka huo mtego wa kamera, si  angeliuwawa siku moja, ndiyo ni lazima tu angekufa  siku moja kama kipigo chenyewe ndiyo hiki.




0 Response to "HAUSIGELI ALIYEMTESA MTOTO UGANDA NUSURA AMUUE, HEBU MCHEKI HAPA CHINI"

Post a Comment