KUISHAMBULIA SYRIA NI KUISAIDIA ALQAEDA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

KUISHAMBULIA SYRIA NI KUISAIDIA ALQAEDA

Makamu wa waziri wa mambo ya nje wa Syria Faisal Mekdad ameliambia shirika la habari la  BBC kwamba  ugaidi utashamiri kila kona ikiwa Marekani na washirika wake wataamua kuishambulia Syria kwa madai yasiyokuwa na ushahidi, eti serikali ya Bashar Al Asad mnamo   August 21 mwaka huu huko Mashariki mwa jiji la Damascus ilitumia silaha za kikemikali kuwaua raia wake wapatao 1,400 wakiwemo watoto 426.

0 Response to "KUISHAMBULIA SYRIA NI KUISAIDIA ALQAEDA"

Post a Comment